Gloria D. Gonsalves, also fondly known as Auntie Glo, is an author and poet who writes books for children and adults. With this story as inspiration, she hopes that you will always show love and respect to everyone, even if they look different.
∞∞∞∞∞
Gloria D. Gonsalves, kwa jina jingine Shangazi Glo, ni mtunzi wa hadithi za watoto. Aidha, ni mpenzi wa ubunifu katika uandishi wa mashairi. Anatumaini kuwa hadithi hii itakufundisha kuonesha upendo na heshima kwa kila mtu hata kama mwonekano wao ni tofauti.
About the Illustrator
Nikki Ng’ombe is a lover of art. Her natural inquisitiveness has drawn her towards a career in research, where she attempts to understand how the human mind works. When she is not working on her research, she can be found with her cat by her side and a book on her lap.
∞∞∞∞∞
Nikki Ng’ombe ni mpenzi wa sanaa. Tabia yake ya udadisi imemvuta kwenye kazi ya utafiti ambapo anajaribu kuelewa jinsi akili ya mwanadamu inavyofanya kazi. Wakati hafanyi kazi kwenye utafiti wake, utamkuta anasoma kitabu akiwa na paka wake pembeni.
À propos de l’auteur
Gloria D. Gonsalves, surnommée affectueusement Tatie Glo, est un auteur primé et une poétesse dont plusieurs recueils ont été publiés. Grâce à cette histoire, elle espère que vous montrerez toujours de l’amour et du respect aux autres, même s’ils paraissent différents.
∞∞∞∞∞
Gloria D. Gonsalves, kwa jina jingine Shangazi Glo, ni mtunzi wa hadithi za watoto. Aidha, ni mpenzi wa ubunifu katika uandishi wa mashairi. Anatumaini kuwa hadithi hii itakufundisha kuonesha upendo na heshima kwa kila mtu hata kama mwonekano wao ni tofauti.
À propos de l’illustratrice
Nikki Ng’ombe est une amoureuse des arts. Sa curiosité naturelle l’a attirée vers une carrière de chercheuse, pour essayer de mieux comprendre le fonctionnement de l’esprit humain. Quand elle ne travaille pas à ses recherches, on peut la trouver avec un livre sur les genoux et un chat blotti à côté d’elle.
∞∞∞∞∞
Nikki Ng’ombe ni mpenzi wa sanaa. Tabia yake ya udadisi imemvuta kwenye kazi ya utafiti ambapo anajaribu kuelewa jinsi akili ya mwanadamu inavyofanya kazi. Wakati hafanyi kazi kwenye utafiti wake, utamkuta anasoma kitabu akiwa na paka wake pembeni.
Über die Autorin
Gloria D. Gonsalves, die liebevoll auch Tante Glo genannt wird, ist eine preisgekrönte Autorin und mehrfach publizierte Dichterin. Mit dieser Geschichte möchte sie dazu beitragen, allen Liebe und Respekt entgegenzubringen, auch wenn sie anders aussehen.
∞∞∞∞∞
Gloria D. Gonsalves, kwa jina jingine Shangazi Glo, ni mtunzi wa hadithi za watoto. Aidha, ni mpenzi wa ubunifu katika uandishi wa mashairi. Anatumaini kuwa hadithi hii itakufundisha kuonesha upendo na heshima kwa kila mtu hata kama mwonekano wao ni tofauti.
Über die Illustratorin
Nikki Ng’ombe ist Kunstliebhaberin. Aufgrund ihrer natürlichen Neugier und Wissbegierde hat sie in der Forschung Karriere gemacht und arbeitet dort daran, die Funktionsweise des menschlichen Geistes zu verstehen. Wenn sie nicht an ihrer Forschung arbeitet, findet man sie häufig mit einem Buch auf dem Schoß und ihrer Katze an ihrer Seite.